FURSA MSIMU WA 77 NA VODACOM DIGITAL

FURSA MSIMU WA 77 NA VODACOM DIGITAL

SabaSaba Vodacom Digital Team
Upo tayari kujivunia mkwanja kirahisi msimu wa sabasaba? Ungana na team Digital kuhudumia wateja Ukiwa popote kuanzia tar 28/6/2022 hadi tar 13/7/2022


Sifa za kuwa mwanateam
Uwezo wa kufundisha na kuwafikia wateja kutumia huduma za kidigitali mtandaoni na mlango kwa mlango
Huduma Zilizopo
• Kumfundisha mteja kutumia MyvodacomApp, Utapewa link ya kushare wateja wako wadownload na kupitia portal yako utakuwa unaona ripoti ya waliodownload (Malipo sh 500 kila download)
• Kumshawishi mteja ajiunge na Mchezo wa bahati na sibu Shake and Win iliyo ndani ya myvodacomApp (Malipo sh 500 kwa kila mteja mmoja unayemuunganisha)
• Kumshawishi mteja ajiunge na Chemsha Bongo inayoenda kwa jina la USHINDI UENDELEE ipo ndani ya myvodacom app au kwa vitoch mteja anatuma neno WIN kwenda 15021 (Malipo ni sh 500 kwa kila mteja unayemuunganisha)
• Kumfundisha Game mpya inayoitwa MOBIBATTLE mteja hapa atatuma sms neno MOBIBATTLE kwenda 15907 (Malipo ni sh 500 kwa kila mteja unayemuunganisha)

Cha kufanya hakikisha umejisajili hapa
https://vodacom.co.tz/uni-ambassador

Kisha share jina na namba yako WhatsApp 0745015421
Kwa maelezo zaidi 0745015421

Post Comment