MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA [GRADUATES ENTREPRENEURSHIP PROGRAM (GEP) TRAINING]  2022 

JINSI YA KUSHIRIKI
Jisajili kwa kujaza fomu ya maombi mtandaoni kupitia https://udsm-gep.ac.tz/ ukiainisha:
i. Majinayako na nambayasimu.
ii. Mkoa utakapohudhuria mafunzo.
iii. Ambatanisha nakala ya cheti cha kuhitimu masomo yako ya elimu ya juu.

Kwa changamoto zozote katika kuwasilisha maombi wasiliana nasi kupitia:
• Barua pepe kwenye anuani: udiec@udsm.ac.tz
• WhatsApp no.: +255-734-669-818
• Au +255 745 015 421 kwa msaada zaidi.

Post Comment