One Stop Centre Business Solution

Biashara ni kama mwanadamu. inazaliwa, inakua na kuimarika. Kwa kila hatua inahitaji kupata virutubisho sahihi.

One Stop Center Business Solution ni ushirika katika utoaji wa huduma kwa wafanyabiashara wadogo, wakati na wakubwa ikihusianisha Unipromo Tanzania LTD, Hansem Assurance na Richland Company Ltd

A. Unipromo  Tanzania  wanakusaidia Usajili wa biashara(Brela na mamlaka nyingine)

B. Hansem Assurance wanakusaidia maswala yote ya Kodi, Mahesabu na Ukaguzi

MAHITAJI YA KUANDALIWA RETURN YA MAPATO YA MWAKA

 • Return of Income from EFD Machine
 • File la receipts za purchases or any direct incurred costs
 • File la receipts za Expenses consumed eg electricity bills, stationary, rent, transport, security etc
 • Memat kuonyesha Capital share declared during registration at Brella and respective shareholders as well as the number of shares allocated per each
 • File of receipts of purchases of assets of the company such as furnitures, electrical and electronics devices such as Ac, computers , photo copies, etc
 • Payroll listss and paid slips of Sdl and Payee during the year
 • Bank statements of the company from 1/1 /21 up to 31/ 12/ 21
 • Km kuna mikopo copy ya mikataba ya mkopo na jinsi riba ilivyo plus duration ili kujua km ni short term loan au ni long term loan
 • Debts lists , Inventory list au Creditors ets briefly hivi ni vitu vya msingi

Mahitaji Return kwa NGO

 • Performance Contract of Grants from NGO
 •  NGO registration details
 • Commissioner of Domestic Tax recognition Hapa ni mhimu sana kuomba recognition certificate toka kwa Commissioner inachukua kama wiki kadhaa kupata tofauti na hapo unakuwa treated kama kampuni ya kawaida
 • Turnover
 •  Employee payroll
 • Grants na Donored list
 • Debtors ,Creditors, Miscellaneous expenses files etc
 • Na vingine ni km other entities tuu

GHARAMA YA KUANDALIWA RETURN YA MAPATO YA MWAKA

 • Null return 150,000/=
 • Chini ya 50M 300,000/=
 • 51M – 100M 450,000/=
 • 101M- 400M 550,000/=
 • 401M-900M 650,000/=
 • 901M-1.5B ni Kati ya 900,000 hadi 1.9M inategemea risk ya hesabu
 • 1.6B and above 2.8M

Gharama zote ni kabla ya VAT

Kwa maswali tuulize tupigie au WhatsApp 0625015421

NB Gharama zitakapobadilika utajulishwa, fanya return kwa wakati kuepuka gharama kubwa tunapoelekea June 30

C. Richland Company Ltd Wanakupa Ushauri wa Biashara na mafunzo

 • Market Plan
 • Financial Plan
 • Market Survey
 • Investment Plan
 • Operational Plan
 • Business Planning
 • Strategic Planning
 • Business Planning
 • KAIZEN Application Practices
 • Business Information and Market Linkages

Tunatoa huduma kwa Mtandao kwa mteja wa mbali na ana kwa ana Ofisini kutokana na mazingira ya mteja.

Tupo  KIBO COMMERCIAL COMPLEX II, 2ND Floor, Office no 33

Branch Office, Ubungo Mabibo Hostel, Geti Dogo

Wasiliana nasi (Masaa 24/7) 0625015421

Instagram https://www.instagram.com/businesscentretz/

Facebook https://web.facebook.com/sajilibiasharatz

Post Comment