MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA [GRADUATES ENTREPRENEURSHIP PROGRAM (GEP) TRAINING] 2022
JINSI YA KUSHIRIKIJisajili kwa kujaza fomu ya maombi mtandaoni kupitia https://udsm-gep.ac.tz/ ukiainisha:i. Majinayako na nambayasimu.ii. Mkoa utakapohudhuria mafunzo.iii. Ambatanisha nakala ya cheti cha kuhitimu masomo yako ya elimu…